Skip to main content
Skip to main content

Waandamanaji sita washtakiwa kwa kushiriki maandamano ya Sabasaba

  • | KBC Video
    240 views
    MAANDAMANO YA SABA SABA Sita kati ya waandamanaji kumi waliokamatwa jijini Nairobi siku ya Jumanne wakati wa maandamano ya Saba Saba wameshtakiwa kwa kuzuia na kuweka vizuizi barabarani katika eneo la katikati mwa jiji Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive