Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa 505 wa maandamano walipwa fidia

  • | Citizen TV
    1,116 views
    Duration: 2:21
    Waathiriwa 505 zaidi wa maandamano ya kisiasa nchini wamepokea fidia, kulingana na kamati maalum iliyoundwa kusimamia mchakato huo. Kamati hiyo imesema kuwa jumla ya shilingi milioni 674.1 zimelipwa kufikia sasa. Aidha, imeeleza kuwa orodha ya waliopokea fidia itatangazwa hadharani baada ya mchakato huo kukamilika.