- 877 viewsDuration: 2:48Mamia ya vijana na wazazi waliotarajia kupata haki kufuatia kashfa ya masomo Finland wameelezea masikitiko yao baada ya mahakama ya Nakuru kutupilia mbali kesi hiyo kwa ukosefu wa ushahidi hapo jana. Licha ya kuhisi mahakama iliwanyima haki sasa wanaandaa harambee ya kuchangisha pesa angalau wajiunge na vyuo vya humu nchini, angalau wanufaike na elimu ya juu.