Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa maandamano kuanza kulipwa fidia wiki ijayo

  • | Citizen TV
    1,070 views
    Duration: 3:39
    Wakenya walioathirika na maandamano ya tangu mwaka 2017 wataanza kupata fidia zao wiki ijayo kufuatia kuzinduliwa kwa mfumo wa kutoa fidia hizo. Kenya National Commission on Human Rights imesema kuwa ni lazima serikali iombe msamaha wa hadhara kwa waathiriwa ambao haki zao zilikiukwa.