2 Jun 2026 1:55 pm | Citizen TV 384 views Duration: 3:13 Jamii zilizoathiriwa na mafuriko katika eneo la Chalaluma na maeneo ya jirani katika Kaunti ya Lamu zimepokea huduma za matibabu kutokana na ongezeko la magonjwa yanayosababishwa na maji.