2 Jun 2026 10:47 am | Citizen TV 333 views Duration: 1:51 Shirika la Huduma kwa wanyamapori nchini KWS latoa fidia ya shilingi milioni 75 kwa waathiriwa 546 wa mashambulizi ya ndovu katika kaunti ya Samburu.