Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa utekaji nyara wafungua kesi ya fidia

  • | Citizen TV
    470 views
    Duration: 3:00
    Muungano wa waathiriwa wa dhuluma kutoka kwa serikali umewasilisha kesi mahakamani kupinga kile wanachodai kuwa kufungiwa nje kwa waathriwa wa utekaji nyara katika mpango unaoendelea wa kuwafidia waathriiwa wa maanadamano. Waathiriwa hao wameshutumu jopo la wataalamu kuhusu Fidia, linaloongozwa na Profesa Makau Mutua, kwa kuwawekea vikwazo kinyume na sheria