- 227 viewsDuration: 3:12Wakaazi wa eneo la Thange huko Kibwezi mashariki kaunti ya Makueni walioathiriwa na mafuta baada ya bomba la mafuta la kampuni ya Kenya pipeline kupasuka na kuvuja mafuta miaka 10 iliyopita bado wanalilia haki. Waathiriwa hawa sasa wakisema wameanza kukata tamaa ya kupata fidia licha ya wengi wao kuathirika kiafya.