Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa walalamikia kutengwa kwenye mpango wa fidia

  • | Citizen TV
    393 views
    Duration: 2:59
    Baadhi ya waathiriwa wa maandamano ya miaka miwili iliyopita wanadai kutengwa katika mpango wa serikali wa utoaji wa fidia. Baadhi yao wanasema hawajapata majibu yoyote kutoka kwa kamati maalum ya kuwafidia waathiriwa licha ya kuwasilisha malalamishi yao. Waathiriwa hao sasa wanataka uwazi na usawa katika mchakato wa kutathmini na kulipa fidia kwa wote walioathirika. Ode Francis amezungumza na baadhi yao na hii hapa taarifa yake.