- 7,485 viewsDuration: 1:35Kundi la wabunge wanaomuunga mkono kinara wa DCP Rigathi Gachagua limemkashifu mwenyekiti wa chama cha UDA Cecily Mbarire kufuatia barua aliyomwandikia Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, iliyodai kuwa utawala wake kama rais ulichangiwa pakubwa na utendakazi wa serikali ya Kenya Kwanza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya