Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wanawake wakashifu vurugu za Homa Bay, wataka hatua za kisheria

  • | Citizen TV
    16,759 views
    Duration: 2:29
    wabunge wanawake wamekashifu vikali vurugu zilizotokea Homa bay kwenye mkutano wa linda mwananchi. wakizungumza baada ya mkutano wao hapa nairobi, wameitaka idara ya usalama kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahusika wote.