- 4,482 viewsDuration: 1:35Baadhi ya wabunge sasa wanataka shule za bweni kufungwa kufuatia mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya Utumishi ulioisababisha vifo vya wanafunzi 16. Wakizungumza bungeni, wabunge hao wanasisitiza kwamba kuna utepevu katika kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa kuhusu idadi ya wanafunzi katika mabweni na usalama wao wakiwa shuleni.