5 Jan 2026 7:40 pm | Citizen TV 276 views Duration: 2:04 Wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, Harambee Stars wamewarai wadau wote katika sekta ya michezo kuzuru mashinani kuwatafuta wachezaji chipukizi kama njia moja ya kuimarisha viwango vya mchezo wa soka nchini.