15,800 views
Duration: 1:40
Liverpool wamevunja rekodi ya usajili England kwa kumsajili mshambuliaji wa Kiswidi, Alexander Isak kutoka Newcastle kwa £125m – dili ambalo linamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya Ligi Kuu England.
Isak, anayetarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya Septemba 1, 2025, atasaini mkataba wa miaka sita Anfield. Awali, Liverpool walikataliwa ofa ya £110m lakini dau jipya limewashawishi Newcastle, ambao wanakabiliwa na presha ya Financial Fair Play.
Kocha Arne Slot ameupata mshambuliaji wa kiwango alichohitaji ili kulinda taji la ligi, huku usajili huu ukionyesha dhamira ya Liverpool kupambana na vigogo wa Ulaya.
Mwandishi wa BBC @frankmavura ameangazia wachezaji wengine wanaofunga hesabu katika tano bora
-
-
#bbcswahili #michezo #kandanda #soka .
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw