- 562 viewsDuration: 1:49Muungano wa wachimbaji madini katika Kaunti ya Kwale unataka sheria na kanuni za uchimbaji madini zizingatiwe. Muungano huo umesema baadhi ya wachimbaji wadogo wamekuwa wakijihusisha na shughuli zinazoharibu mazingira, na kusisitiza umuhimu wa uchimbaji unaozingatia uhifadhi wa mazingira.