Skip to main content
Skip to main content

Wachunguzi wa ajali ya ndege Mosop, Nandi, wahoji watu 8 siku ya pili

  • | Citizen TV
    956 views
    Duration: 2:15
    Uchunguzi wa ndege iliyosababisha vifo vya watu 6 akiwemo mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno imeingia siku yake ya pili, huku wachambuzi wa ajali za ndege wakifika katika eneo la mkasa kaunti ya nandi. Kamati ya pamoja ya uchunguzi ikiwa tayari imewahoji watu 8 kuhusiana na ajali hiyo ya jumamosi iliyopita