6 Oct 2026 10:18 am | Citizen TV 233 views Duration: 1:46 Wadau katika sekta ya utalii nchini wanataka kuboreshwa kwa miundombinu hasa maeneo ya mikutano na utoaji huduma ili kuliwezesha taifa kutoa ushindani katika soko la kimataifa.