3 Jun 2026 1:13 pm | Citizen TV 157 views Duration: 1:43 Wadau wa kupambana na dhulma za kijinsia katika Kaunti ya Kilifi wanasema uhaba wa rasilimali na ufadhili mdogo wa sekta ya jinsia umechangia changamoto katika juhudi za kukabiliana na visa vya ukatili wa kijinsia.