28 Sep 2026 10:11 am | Citizen TV 516 views Duration: 2:05 Wadau wa afya katika Kaunti ya Bungoma wameibua wasiwasi kuhusu ongezeko la vifo vya kina mama vinavyohusishwa na kuvuja damu nyingi baada ya kujifungua.