6 Oct 2026 1:39 pm | Citizen TV 448 views Duration: 1:53 Wadau mbalimbali katika sekta ya afya wamekutana mjini Lodwar, Kaunti ya Turkana, kuweka mikakati na kutathmini hatua zilizopigwa katika kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa malaria, kwa watoto walio chini ya miaka tisa.