- 165 viewsDuration: 1:56wadau wa elimu kutoka afrika mashariki wanakutana hapa nairobi kwa mkutano wa pili wa eleimu katika eneo la afrika mashariki lengo likiwa kuimarisha na kufanyia mageuzi baadhi ya masuala katika sekta ya eleimu. huku ikidaiwa kuwa elimu imesambaa katika maeneo mengi, washikadau wanasema ipo haja ya kuongeza kasi ya kuhakikisha kila eneo katika afrika mashariki linawapa wanafunzi fursa ya kusoma na kukabiliana na ukosefu wa walimu na vifaa muhimuvya masomo.