Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa elimu katika Kaunti ya Nandi wapendekeza elimu ya wakongwe shuleni

  • | Citizen TV
    110 views
    Duration: 1:30
    Wanaharakati wa masuala ya kijamii katika Kaunti ya Nandi waitaka Wizara ya elimu kujumuisha masomo yalengayo kuhamasisha wanafunzi kuhusu umuhimu wa kuwahudumia na kuwatunza wakongwe katika jamii.