6 Jul 2026 10:17 am | Citizen TV 161 views Duration: 1:27 Washikadau katika sekta ya elimu wamehimiza wanafunzi, wazazi na wahitimu kupanga na kuchagua mikondo yao ya taaluma mapema ili kujiandaa vyema kwa soko la ajira linalobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia.