Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa sanaa Kajiado watumia mashindano kukemea ukatili dhidi ya wanawake

  • | Citizen TV
    485 views
    Duration: 3:36
    Wadau katika sekta ya sanaa katika Kaunti ya Kajiado County wamejitokeza kutumia Mashindano ya Sanaa ya Ulimwende kuangazia na kukemea changamoto mbalimbali zinazowakumba wanawake, ikiwemo ukeketaji na mauaji ya kiholela.