Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa utalii wakemea matamshi ya Gachagua kuhusu watalii

  • | Citizen TV
    2,639 views
    Duration: 3:01
    Wadau wa sekta ya utalii wamekosoa matamshi ya kinara wa DCP Rigathi Gachagua aliyewataka watalii kutozuru Kenya. Shirikisho la Utalii nchini limesema matamshi hayo ni ya hatari na limewataka watalii pamoja na wawekezaji kuyapuuza. Mawaziri wa Madini Hassan Joho na Michezo Salim Mvurya pia wameyataja matamshi hayo kuwa yasiyofaa, wakisema yanalenga kudhoofisha uchumi wa eneo la Pwani unaotegemea pakubwa sekta ya utalii. Francis Mtalaki anaripoti.