6 Jul 2026 10:53 am | Citizen TV 162 views Duration: 1:54 Wadau wa masuala ya amani na uadilifu wamehimizwa kuunga mkono juhudi za kutokomeza ukatili wa kijinsia, wakisisitiza kuwa ushirikiano wa pamoja ni msingi muhimu katika kujenga jamii salama.