15 Jun 2026 10:41 am | Citizen TV 286 views Duration: 2:13 Wazazi, walimu na wadau kutoka mashirika mbalimbali ya kijamii wamehimizwa kushirikiana kuwaonyesha wanafunzi, hususan wa shule za upili, mwelekeo mwema na kuwasaidia kukabiliana na changamoto za maisha wakiwa shuleni.