Vuguvugu la Elimu Bora limeibua wasiwasi kuhusu masomo ya Gredi ya 10 chini ya mfumo wa elimu ya umilisi. Vuguvugu hilo linaonya kuwa changamoto zinazoghubika sekta ya elimu ikiwemo miundombinu hafifu, kutojiandaa vyema kwa walimu na ukosefu wa vifaa vya kujifunzia, huenda zikazuia maelfu ya wanafunzi hasa kutoka familia maskini kuendelea na masomo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive