Skip to main content
Skip to main content

Wadau wapendekeza kamati ya kushughulikia msongo wa mawazo kwa wafanyakazi Kisumu

  • | Citizen TV
    196 views
    Duration: 1:24
    Wadau mbali mbali sasa wanapendekeza uundwaji wa kamati maalum itakayochanganua masuala ya afya ya akili miongoni mwa wafanyikazi kaunti ya Kisumu, ili kupunguza visa vya msongo wa mawazo