Skip to main content
Skip to main content

Wadau wapendekeza kupunguzwa kwa gharama za mafunzo ya usafiri wa anga

  • | Citizen TV
    2,756 views
    Duration: 4:01
    Gharama kubwa ya mafunzo, ada za kutua na kuegesha ndege, pamoja na msongamano katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, zimeendelea kutajwa kama baadhi ya changamoto zinazokwamisha ukuaji wa sekta ya usafiri wa anga nchini.