Skip to main content
Skip to main content

Wadau wataka afya ya akili Ipewe kipaumbele kufuatia kuongezeka kwa migomo shuleni

  • | Citizen TV
    367 views
    Duration: 2:51
    Wasiwasi unaongezeka kutokana na kuongezeka kwa visa vya migomo na vurugu shuleni nchini Kenya, hali iliyochochea wito wa kuimarishwa kwa huduma za afya ya akili na utekelezaji mkali wa hatua za usalama katika taasisi za elimu.