Skip to main content
Skip to main content

Wadau wataka uwekezaji zaidi katika mchezo wa kuteleza kwa viatu vya vigurudumu

  • | Citizen TV
    223 views
    Duration: 2:47
    Licha ya mchezo wa kuteleza kwa viatu vya vigurudumu kuendelea kuvutia wanafunzi katika shule mbalimbali nchini, ukosefu wa vifaa muhimu unaendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya mchezo huo.