15 Jun 2026 1:22 pm | Citizen TV 293 views Duration: 2:22 Huku Siku ya Mtoto Mwafrika ikitarajiwa kuadhimishwa kesho, serikali na wadau mbalimbali wametakiwa kutekeleza kikamilifu sera zinazohusu watoto wenye ulemavu, hasa watoto wa kike, ambao wanapitia changamoto nyingi.