Skip to main content
Skip to main content

Wadi ya Keiyo yapiga hatua katika vita dhidi ya magonjwa yatokanayo na maji machafu

  • | Citizen TV
    141 views
    Duration: 1:29
    Wadi ya Keiyo katika Kaunti ya Trans Nzoia imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya magonjwa yanayotokana na matumizi ya maji machafu. Hapo awali, wadi hiyo ilikuwa ikiongoza kaunti kwa visa vya maambukizi ya kichocho na funza.