4 Jun 2026 1:13 pm | Citizen TV 312 views Duration: 2:07 Idara ya afya katika Kaunti ya Vihiga imetaja Wadi ya North East Bunyore katika eneo bunge la Emuhaya kuwa miongoni mwa maeneo yaliyo katika hatari kubwa ya maambukizi ya kichocho.