31 Jul 2026 10:16 am | Citizen TV 753 views Duration: 1:23 Waendeshaji bodaboda katika mji wa Bondo, kaunti ya Siaya, walalamikia ongezeko la visa vya wizi wa pikipiki vitekelezwavyo na majambazi wenye silaha nyakati za usiku.