Skip to main content
Skip to main content

Wafalme kuhamia Kasarani kujiandaa kwa AFCON

  • | Citizen TV
    919 views
    Duration: 1:23
    Timu ya taifa ya voliboli ya wanaume, Wafalme, imehamishia kambi yake ya mazoezi Kasarani ikiwa imesalia chini ya wiki moja kabla ya kuelekea Tunisia. Tunisia itakuwa mwenyeji wa michuano ya Bara Afrika, ambapo mshindi atafuzu kwa Michezo ya Olimpiki ya Los Angeles 2028, huku timu tatu bora zikifuzu kwa Kombe la Dunia.