23 Apr 2026 1:12 pm | Citizen TV 238 views Duration: 2:27 Athari za kupanda kwa bei ya mafuta nchini zinaendelea kuwasakama wananchi, huku Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akitoa wito kwa serikali kuingilia kati na kushughulikia hali hiyo haraka.