Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Githurai na Kitengela wahesabu hasara ya mamilioni baada ya vurugu

  • | Citizen TV
    2,001 views
    Duration: 3:03
    Wafanyabiashara katika maeneo ya Githurai na Kitengela wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya wahuni kuvamia maeneo yao ya biashara wakati wa maandamano ya kupinga bei ya juu ya mafuta. Wafanyabiashara hao sasa wanaitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwalinda pamoja na biashara zao wakati wa maandamano nchini.