- 345 viewsDuration: 8:27Idara ya usalama katika kaunti ya Kajiado yaaanda mkutano na washikadau mbali mbali wakiwemo wafanyabiashara mjini Kitengela kujadili mustakabali wa usalama wa biashara mjini humo hasa wakati wa maandamano. Mkutano huo unajiri baada ya mji wa kitengela kuorodhesha miongoni mwa miji ambayo hushuhudiwa maandamano na uharibu mkubwa wa mali kila mara kunapokuwa na maandamano nchini.