Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara Limuru wasema biashara zao zimo hatarini kufuatia ongezeko la bei ya mafuta

  • | NTV Video
    494 views
    Duration: 2:09
    Wafanyabiashara katika sekta ya usafirishaji wa mizigo kutoka Kwambira, eneo bunge la Limuru, wameeleza wasiwasi wao kufuatia ongezeko la bei ya mafuta, wakisema kuwa biashara yao imo hatarini kudorora kutokana na gharama kubwa watakayokadiria. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya