- 502 viewsDuration: 2:45Wafanyabiasha wa mbao katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wameandamana wakipinga utoaji wa zabuni kubwa iliyopewa mtu mmoja huku wao wakigawiwa sehemu dogo . Kulingana nao, mfanyabiashara huyo alipewa idhini ya kukata miti asilimia 80 katika misitu ya Elgeyo Marakwet nao wakaawachiwa asilimia 20 tu kwa kampuni 97 eneo hilo.