Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wa Soko la 64 kaunti ya Eldoret walalamikia ugavi wa vibanda

  • | Citizen TV
    1,468 views
    Duration: 1:49
    Wafanyabiashara waliofurushwa katika soko la 64 jijini Eldoret kupisha ujenzi wa soko la kisasa eneo hilo,wanalalamikia kuwepo na njama fiche katika ugavi wa vibanda vya soko hilo, linalotarajiwa kufunguliwa ramsi na rais William Ruto mwezi huu.