Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wadogo Busia watakiwa kuwa na subira suhusu vikwazo vya biashara

  • | Citizen TV
    313 views
    Duration: 1:31
    Wafanyabiashara wadogo mpakani Busia na Malaba hasa wanawake wanaohudumu katika nchi za Uganda, Congo na mataifa mengine ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wametakiwa kuwa na subira huku serikali ikipania kuondoa vikwazo vya biashara kama kodi za juu.