Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wapinga ujenzi wa vibanda vipya Uhuru market

  • | Citizen TV
    462 views
    Duration: 1:27
    Wafanyabiashara wa soko la Uhuru hapa Jijini Nairobi wanapinga mradi mpya wa ujenzi wa soko hilo wakihofia unyakuzi wa ardhi na kudai ukosefu wa ushirikishwaji tangu soko hilo lilipoteketea mwaka 2012.