3 Jul 2026 1:24 pm | Citizen TV 804 views Duration: 2:04 Wafanyakazi zaidi ya 250 wadaio kuwahi kuhudumu katika kampuni ya Africa Spirits iliyoko Ruiru kaunti ya Kiambu, waandamana kudai malipo yao baada ya kampuni hiyo kufungwa ghafla na kuwaacha waathiriwa kwenye njia panda.