Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kampuni ya maua wakutana kule Segera Laikipia na mwajiri wao

  • | Citizen TV
    373 views
    Duration: 2:31
    Siku Moja baada ya citizen tv kuangazia malalamishi ya wafanyakazi Wa kampuni moja ya maua kule Segera Laikipia kaskazini waliosusia kazi wakilalamikia kukandamizwa na mwajiri wao,idara ya leba yakamilisha patanisho Kati ya wafanyakazi hawa na mwajiri wao.