Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Nzoia wafanya maandamno kudai mishahara

  • | Citizen TV
    493 views
    Duration: 1:57
    Shughuli za uchukuzi zilitatizika kwenye Barabara ya kanduyi webuye katika Soko la bukembe hapo Jana baada Ya wafanyakazi Wa kiwanda cha sukari cha Nzoia kuchoma magurudumu wakidai malimbikizi Ya mishahara Yao.