Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa KPA wahofia hatima ya ajira zao

  • | Citizen TV
    3,496 views
    Duration: 1:41
    Wafanyikazi wa bandari ya Kenya wameelezea wasiwasi wao kuhusu mikataba yao ya kazi baada ya taarifa kuchapishwa kuhusu zabuni ya kukodisha vifaa na huduma za oparesheni pamoja na kutolewa kwa maombi ya kutaka kuajiri watu wenye tajriba fulani ya kazi. Mkurugenzi mkuu wa KPA William Ruto hapo awali alidokeza kuwa kupitia sheria mpya ya taasisi zinazomilikiwa na serikali, KPA itakuwa mpangaji.