- 551 viewsDuration: 1:35Wafanyibiashara Katika sekta ya tuk tuk mjini Nakuru wafanya maandamano ya amani nje ya ofisi za serikali ya kaunti ya Nakuru wakitaka kukutana ana kwa ana na gavana wa Kaunti hiyo Susan Kihika, kujadili kile wanachodai ni unyanyasaji na Mazingira mabovu ya kazi kutoka Kwa maafisa wa kaunti hiyo, katika maeneo yao ya kazi